Friday, July 19

DUCE YAENDESHA SEMINA MASUALA YA KIJINSIA NA RUSHWA YA NGONO KWA WANAFUNZI MWAKA WA KWANZA

0


Dk. Neema Gedion Mogha Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Elimu DUCE Chang’ombe jijinin Dar es salaam na Mkuu wa Idara ya Sayansi ya Viumbe Hai (Baiolojia) akifumgua semina ya Klabu za Jinsia (DUCE Gender Club) za wanafunzi wanaosoma katika chuo hicho iliyofanyika chuoni hapo mwishoni mwa wiki iliyopita ambapo mada mbalimbali zilitolewa katika kuwajengea uwezo wanafunzi hao katika masuala ya kijinsia ili kujiepusha kufanya mambo mbalimbali yanayoweza kupelekea rushwa ya ngono.

Ikiwa ni pamoja na wanafunzi wanawake kujitoa bila woga katika masuala ya uongozi, katika picha kulia ni Bi. Upendo Mlungusye Msaidizi Mshauri wa Wanafunzi DUCE na kutoka kushoto ni Dorothea Fumpuni Mhadhiri na Mlezi wa klabu za Jinsia DUCE na Dk. Ikupa Moses Mratibu wa Kitengo cha Jinsia DUCE.
Dk. Neema Gedion Mogha Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Elimu DUCE Chang’ombe jijinin Dar es salaam na Mkuu wa Idara ya Sayansi ya Viumbe Hai (Baiolojia) akifafanua jambo wakati akifumgua semina ya Klabu za Jinsia (DUCE Gender Club) za wanafunziwa chuo hicho mwishoni mwa wiki iliyopita kulia ni Bi. Upendo Mlungusye Msaidizi Mshauri wa Wanafunzi DUCE na kushoto ni Dk. Ikupa Moses Mratibu wa Kitengo cha Jinsia DUCE.
Dk. Ikupa Moses Mratibu wa Kitengo cha Jinsia DUCE akimkaribisha Dk. Neema Gedion Mogha Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Elimu DUCE Chang’ombe jijinin Dar es salaam na Mkuu wa Idara ya Sayansi ya Viumbe Hai (Baiolojia) ili kufungua semina hiyo kutoka kulia ni Mhadhiri wa Chuo hicho Dk. Perpetua John Urio na Bi. Upendo Mlungusye Msaidizi Mshauri wa Mshauri wa Wanafunzi DUCE


Dk. Ikupa Moses Mratibu wa Kitengo cha Jinsia DUCE akizungumza katika semina hiyo.
Baadhi ya wanafunzi na wanachama wa klabu za jinsia Chuo Kikuu cha Elimu DUCE wakiwa katika semina hiyo
Baadhi ya viongozi wa klabu za jinsia chuoni hapo wakijitambulisha.
Dk. Neema Gedion Mogha Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Elimu DUCE Chang’ombe jijinin Dar es salaam na Mkuu wa Idara ya Sayansi ya Viumbe Hai (Baiolojia), kushoto Dk. Ikupa Moses Mratibu wa Kitengo cha Jinsia DUCE na Bi. Upendo Mlungusye Msaidizi wa Mshauri wa Wanafunzi DUCE wakifuatilia matukio katika semina hiyo.
Mmoja wa wanafunzi akionyesha kipaji chake katika kuimba wakati semina hiyo ikiendelea.
Msanii Finest akifanya vitu vyake katika semina hiyo.
Mhadhiri wa Chuo hicho Dk. Perpetua John Urio akitoa mada katika masuala ya kijinsia wakati semina hiyo ikiendelea.
Mwezeshaji Janeth Mawiza Mwenyekiti wa Taasisi ya WAJIKI akitoa mada kuhusu rushwa ya ngono kwa klabu za jinsia katika semina hiyo iliyofanyika mwishoni mwa wiki katika chuo Kikuu cha DUCE jijini Dar es salaam
Mmoja wa wanafunzi na wanachama wa klabu za jinsia chuoni hapo akiuliza maswali katika semina hiyo.
Picha ya pamoja mara baada ya kumalizika kwa semina hiyo.

Share.

About Author

Leave A Reply