Sunday, August 25

Wapi Nilisema Nimeoa?-Ben Kinyaiya

0


Mwigizaji na mtangazaji Ben Kinyaiya amewajibu baadhi ya watu waliokuwa wakijadili kuhusu picha iliyomwonyesha akiwa anafunga ndoa na mwanamke aliyedaiwa kumzidi umri.

 

Picha ikimuonyesha Ben Kinyaiya
Mwigizaji huyo akiwa kwenye kipindi cha Leo Tena cha Clouds FM alihoji ni sehemu gani aliyosema kuwa ameoa na hata kama ameona kwani kuna tatizo gani?

“Hakuna sehemu ambayo nimesema kuwa nimeoa au sijaoa watu watulie muda utafika na watajua kama kweli ndoa au mapicha picha, na hata kama ikiwa kweli shida ipo wapi” Alisema Ben Kinyaiya.


Share.

About Author

Leave A Reply