Sunday, August 25

TID:SINA TATIZO NA Q CHILLA

0


“Mimi sina tatizo lolote na Q Chilla ila nashangaa yeye anavyokuwa ananiongelea vibaya maana kumuongelea mtu vibaya hakufanyi wewe kuonekana mzuri,” TID alisema.

“Mara ya mwisho nakutana na Q chilla ilikuwa mwezi mmoja uliopita na alivyoniona akanipiga bao, kiukweli sikumuelewa maana hajui nimetumia kiasi gani cha fedha au muda gani kutengeneza brand yangu kisha yeye kutaka kuiharibu, sijui anataka kuniona nimepanga Mwananyamala kama yeye hata sielewi,” TID alisema hayo kwenye kipindi cha XXL cha Clouds FM.

Hivi karibuni Q Chilla alinukuliwa na chomno cha habari kimoja akielezea kuwa na tatizo na TID

Share.

About Author

Leave A Reply