Monday, August 19

ROSE AFUNGUKIA UHUSIANO WAKE NA KIJANA MKENYA

0


Akizungumza na moja ya mtandao  mmoja nchini humo, Rose ameitaka jamii ielewe kuwa, kukutana kwake na Steve Kasolo ni kusudi la Mungu na hakuna kitu kingine Zaidi.

“Jamii nataka ielewewe kamba, kasolo ni mtumishi wa Mungu na mimi alinisimamisha kwake kama mama naye kama kijana wangu kwahiyo ukionona nafanya kaza na kasolo nafanya kazi ya sehemu yangu kasababu mungu ndiye aliyeamuru nifanye , kwahiyo jamii naoma ielewe nafanya kazi kwa utukufu wa mungu na sivinginevyo” Rose alieleza.

“Nataka kuiabia jamii kuwa kukutana na huyu kijana nikusudi la Mungu sio bahati mbaya au kufanya kazi  na  steve kasolo sio bahati mbaya kama watu wanavyofikiria labda labda..hakuna labda, nikusudi la Mungu aliyehai na nimapenzi ya mungu name nafanya  kwakutimiza kusudi la Mungu kwasababu najua kazi yoyote ambayo amabo nafanya na steve kasolo inamrejeshea Mungu utukufu na kuliinua jina la la Yesu” Rose Muhando alimaliza.

Rose Muhando amelazimika kutoa ufafanuzi huo baada ya taarifa zilizoibuka kupitia mitandao ya kijamii zilizodai kuwa wawili hao walikuwa katika uhusiano wa kimapenzi.

Share.

About Author

Leave A Reply