Monday, August 19

Picha: Bill Gates, Kikwete Wahudhuria Harusi ya Mtoto wa Dangote

0


Mtoto wa tajiri Aliko Dangote kutokea Nigeria ambaye ni Fatma Dangote alifunga pingu za maisha na mume wake ambaye ni rubani wa ndege Jamil Abubakar siku ya March 16,2018 nchini Nigeria.

Sherehe ya harusi hiyo ilihudhuriwa na watu maarufu mbalimbali akiwemo tajiri wa kwanza duniani Bill Gates, Rais mstaafu wa Nigeria Bukola Saraki, Rais wa sasa wa Nigeria Muhammadu Buhari, na wabunge mbalimbali wa Nigeria.
Read More

Share.

About Author

Comments are closed.