Sunday, August 18

MWIJAKU AWEKA WAZI MALI ANAZOMILIKI, USIMCHUKULIE POA

0


‘’Kuna watu wananichukulia poa, kimaisha nalingana na wazazi wao,najenga maeneo ya Mpinga nina mashamba Bunju na  Bagamoyo, nina magari nane, nimiliki ‘Ubber’ nne, yote kwa sababu ya kuigiza kule kupost ‘Instagram’ ni kuongea kuwakumbusha vijana wenzangu wanaojisahau, kuna wengine wanapiga picha mbaya siwezi kuwaacha lazima niwaambie kwa sababu nawatakia mema’’ Mwijaku aliyasema hayo hivi karibuni alipozungumza na  mtandao wa Cloudsfm.

Share.

About Author

Leave A Reply