Saturday, August 24

Breaking News: Mahakama Yawahukumu Kwenda Jela Sugu, Masonga Baada ya Kukutwa na Hatia

0


Mbunge wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi na Katibu wa Chadema Kanda ya Nyanda za Juu Kusini, Emmanuel Masonga wahukumiwa kifungo cha miezi mitano jela baada ya kutiwa hatiani kwa kosa la kutumia lugha ya fedheha dhidi ya Rais.Read More

Share.

About Author

Comments are closed.