Wednesday, July 17

ONE campaign video shooting…… Diamond, AY, D’banj na wengine wengi

0


Diamond na wasanii wengine wakishoot video ya wimbo huo wa pamoja, Jo berg, South Africa. Video hiyo ambayo ni ya One Campain inawashirikisha wasanii zaidi ya 20 huku Tanzania ikiwakilishwa na AY na Diamond. Wasanii wengine ni Femi Kuti (Nigeria), Diamond (Tanzania), Victoria Kimani (Kenya), D’banj (Nigeria), Fally Ipupa (DRC), Buffalo Souljah (Zimbabwe), Yvonne Chaka Chaka (South Africa), Mafikizolo (South Africa), Asa (Nigeria), Angelique Kodjo (South Africa), Vusi Nova (South Africa), Omawumi (Nigeria) na Wengine wengi.


Picha zaidi
D’Banj naVictoria Kimani
Victoria Kimani na Femi Kuti

Vusi Nova na Diamond

Victoria Kimani na DiamondRead More

Share.

About Author

Comments are closed.