Tuesday, July 23

Zurii Beauty Academy

0


ZuRii Beauty Academy ni Chuo kinacho toa kozi za urembo katika ngazi ya Certificate na Diploma na kimesajiliwa na VETA.

Muda wa Kozi: Cheti ni Miezi (4)
International Diploma ni Miezi Saba (7)

Muda wa Mafunzo: Saa 3 asubuhi mpaka saa 9 mchana Jumatatu mpaka Ijumaa

Elimu itolewayo:
.
✔Utunzaji wa Ngozi (Facial Therapy) .
.
✔Kucha (manicure/pedicure)
.
.
✔Nywele styling na matunzo
.
.
✔ Uongozi na usimamizi wa biashara ya saluni
.
.
✔Makeup simple, za shughuli mbali mbali pamoja na kupamba maharusi, na kufunga malemba
.
.
✔Study Tours za kukupa exposure ndani ya Tasnia ya Urembo.
.
.
✔️Huduma Kwa Wateja.
.
.

Kozi zingine tunazo toa zinazo jitegemea ni kama ifuatavyo:
.
✔️Utunzaji ngozi kwa kutumia vifaa vya umeme (Electrical Body & Facial Therapy)
✔️Massage Therapy ( Aromatherapy, Hot stone , Swedish, Reflexology andIndian Head massage)
✔️Microblading
✔️Micro Pigmentation
✔️Kuweka kope moja moja
✔️Kubandika kucha kwa kutumia unga, gel na urembo wa kucha.
✔️Nywele (Kusuka na Kushonea weaving na kutengeneza mawig)
✔️Makeup simple, za shughuli mbali mbali pamoja na kupamba maharusi, na kufunga malemba.
.
.
.
Jisajili sasa maana nafasi bado zipo chache! .
.
Ofisi zetu zipo jengo la Dar Free Market Mall, Ghorofa Ya Kwanza, Oyster Bay, Ally Hassan Mwinyi Road, Karibu na Ubalozi wa Kenya na Ufaransa.

Kupata fomu ya kujiunga na maelezo zaidi wasiliana nasi kupitia:
Simu/Whatsapp: +255746666636
Barua Pepe : info@zuriibeautyacademy.com
Instagram: zuriibeautyacademy
Website: www.zuriibeautyacademy.com
Instagram/Facebook: @zuriibeautyacademy
#ZuRiiBeautyAcademy#ChuoChaUremboTanzania#NailTechnicians#BeautyAcademy#BeautyTherapy#BeautySchoolTanzania#UremboFursa#zurii#zuriihouseofbeautyandspa#zuriibeautyclinicandspa
#zuriibeautyacademy2h

Share.

About Author

Leave A Reply