Sunday, August 18

Work Wear Ideas to Wrap up February

0


Hello corporate chicas,hii ni wiki ya mwisho tumalize mwezi february tukaribishe March ambapo kuna siku ya wanawake duniani.

Ideas za nini cha kuvaa hizi hapa

Sasa hivi kila kona ni culottes na wide leg trousers

si mbaya uka invest in one tena black ili uivae to death 

cullotes ndo habari ya dunia 

suit up

maxi skirt ya kitenge na turtle neck 

valia shirt au turtle neck then juu leta dress yako inapendeza 

for business casual in a pencil skirt,denim shirt and biker jacket 

blazer is an essential wavaa na kila kitu 

go monochromatic

dress up your basic t shirt

pencil skirt are the best

jumpsuit Read More

Share.

About Author

Comments are closed.