Monday, August 19

Wiki hii kwenye DStv!

0


Ni wikiendi nyingine tena na Stering DStv anakuletea mtanange wa kombe la FA hatua ya robo fainali, upande huu ni Man united pembeni ni Brighton, mpira unawekwa kati soka lipigwe, Je Man United watachomoka na ushindi ama watalala doro tena kwa vibonde?

Mimi na wewe hatujui ila tutashudia wenyewe LIVE, Jumamosi hii saa 4.40 usiku kwenye Supersport 10 ya kifurushi DStv Bomba kwa sh.19, 000 pekee!

Na Jumapili hii kwenye mechi nyingine ya FA cup hayua robo fainali, Dimbani wanaingia Leicester city wakichuana na Chelsea. Wote tunajua kipindi kigumu wanachopitia Chelsea, Je watatoka kimasomaso au hali itazidi kuwa mbaya?

Mechi ni saa kuanzia saa moja kamili usiku kwenye Supersport 10 kifurushi ni Bomba kw ash.19, 000 tu!

Ukiwa na DStv unapata mechi kama hizi LIVE na nyingi pamoja na uchambuzi wa kina kutoka kwa wakali wa Soka Duniani bila kusahau fununu zote zinazoendelea kwenye ulimwengu wa soka, yani kitu ni HD, Ni Full Vyenga Bila Chenga mwanzo mwisho… unasubiri nini sasa? Jiunge na DStv leo sh.79, 000 ufaidi utamu wa soka kupiga namba 0659 070707 na ukitaka kujihudumia piga *150*46# kisha fuata maelekezo!

THE PUNGUZO na DStv!Read More

Share.

About Author

Comments are closed.