Sunday, August 18

Vivazi vyote Alivyovaa Shamim Mwasha akiwa Nairobi na wapi pa Kuvi Shop ,Slow Mo tumeielewa

0


So last weekend Da Shami alikua Nairobi akiwa kaenda kwenye Director Seminar ya oriflame ,mengi yalitokea na aliweza kwenda live akapost mambo kibao insta ,but leo naomba ku focus kwenye mionekano yake yote kuanzia anaenda alichovaa mpaka kurudi.Huku tukisubiri experience yake ya huko ambayo ata andika mwenyewe.

Nguo nyingi alizovaa zilikua na touches za Vitenge yani kila nguo kulikua na kitenge kama sio top basi a dress,au a skirt hata vest cardgan

LOOK ONE ON ARRIVAL

I M H E R E
#zezeinnairobi
@radissonblunbo
#slowmo
#oriflabae
#teamnovage
#oriflamechangeslives .
#patamuonekano
#shamimcardigan by @khadijamwanamboka
#tee @mimizcollection

LOOK 2

IN THIS CUTE KITENGE PENCIL SKIRT 

THE NECKLACE IS JUST AMAZING

F E E L I T 💋
#slowmo 😅
#boomerang itasubiri #instastory
#GeTmyLook
#patamuonekano
#highwaistsskirt @mgece__cici__designs
#Turtleneck @stopandshoproom
#shoe @theglamorousfashion
#mkhandbag #statementnecklace … birthdaygift 😀😀😀(kama muandamane hivi eee … ndo ivooo🤸🏿‍♀️)

LOOK 3

W A K A N D A F O R E V E R
#wakandaforever 🙅🏾‍♀️
Tuagane kwa hii #slowmo nitarudi nastory nzima yalojiri #orifilamedirectorseminar#nairobi
#oriflamechangeslivesafrica kwa #8020fashionsblog na facebook #shamimmwasha
Na ukurasa maalum wa #letsberichtogether
.
#patamuonekano
#getmylook
#jumpsuit by @theglamorousfashion
#shoes by @theglamorousfashion
#belt by @neyz_fashion_store
#africanprintkimono by @mgece__cici__designs .
#digitalinfluencer
#fashionblogger

LOOK 4

T H E L A S T O N E
😜
#dressed by @kattycollection
#sandals by @xavywity_fashionRead More

Share.

About Author

Comments are closed.