Saturday, July 20

VITU 10 VYA KUZINGATIA KABLA YA KUANZA DIET

0


1. Set goals/Jiwekee Malengo

Cha kwanza kabisa na cha muhimu sana kabla hujaanza diet ni kuweka malengo,tana malengo ambayo yako realistic usijidanganye kabisaa ,kama kuna malengo ambayo hayako realistic its likely diet haitafika popote.Jipangie jinsi ya kufanya diet hiyo kwa malengo uset kabisa vipi utafikia malengo yako.Planning is very important guys kuanzia milo yako ,mazoezi nk.

2. Create a weight loss plan

Lazima utengeneze weightloss plan yako kuanzia unaaanza ,kilo ngapi unataka kupunguza,kwa muda gani pia.Sasa hii weightloss plan ita toa details za vyakula gani unahitaji ule ,mazoezi yatakayo kusaidia kupungua,kuzingatia muda wa kula nk.DIET

3.Jitahidi kuishi healthy

Yes diet itakusaidia kupungua na kuna watu wanafanya diet sio healthy just for the sake of kupungua kilo kadhaa ila kwanini yasiwe maisha yako ,kuishi healthy unakula na unakuwa healthy unaacha kufanya crush diets ambazo zina side effects kwenye mwili wako.Fanya kuamua kuwa unaishi a healthy life.DIET4

4.Kuwa na Malengo endelevu

Kuliko kufanya crush diet ya wiki moja ukapungua kilo kadhaa then baada ya wiki mbili ukarudia kilo zile zile kwanini usi create diet plan ambayo uta stick nayo kwa muda mrefu,ni ile unafanya diet ambayo haifeel kama diet ,create a weighloss plan that is natural ,hata wale wanaopungua naturally huwa kurudia zile kilo za mwanzo inawachukua muda mrefu sana .DIET43433

5. Research each diet/Fanya utafiti wa kila diet

Kabla ya kuanza diet hebu fanya research ya diet mbali mbali hata kama rafiki wamekushauri diet flani ifanyie utafiti kwanza.Angalia reviews mbali mbali online ila hii ni kwa zile ambazo ziko popular ,ukicheki reviews utaona kama inafaa au la .DIET434

6.Nenda kwa daktari au mjuzi wa mambo ya afya mfanye review ya Diet plan yako

Hii ni serious like watu wanafanya tu diet tena za kuambiwa zinawaletea madhara mpaka vidonda vya tumbo huwa watu wanapata ,basi mtafute mtu anaejua mambo ya afya hata kama sio Doctor au Nutrionist basi fanyeni review ya diet yako akupe ushauri nini kimepungua nini kimeongezeka  na nini .Utakuwa hata na amani kuwa afya yako haitoaathirika.DIET5

7. Know your portions/Hakikisha unajua na kustick kwenye portion yako

Portions ni muhimu sana kwa watu wa diet kama unataka diet yako iwe effective basi kujifunza proper portions ni lazima kungalia kiasi cha msosi unachokula ni important.Kula kulingana na calories unazohitaji sio kwakuwa una apetite ule tu .DIET443

8.  Acha bad habits

Kuna habits nyingi sana ambazo ni sumu kwenye diet mfano kula bila kipimo au wakati wa kusnack basi wewe unakula kabisa kama chakula determine mwenyewe utaacha vipi hizi tabia ili diet yako ifanye kazi na uone results .DIET2

9. Work in exercise

Kufanya diet bila mazoezi ni rahisi sana ila haiwi effective kama kufanya both kula healthy na kufanya na mazoezi,kufanya mazoezi kunapunguza apetite na kunasaidia kuburn more calories ,ni vizuri uki plan kufanya diet basi na mazoezi yawe kwenye plan hiyo.Mazoezi pamoja na diet vitakusadia kujifeel more healthier DIET55

10. Consider family and friends/Shirikisha familia yako na Marafiki

kufanya diet ni kazi na ni ngumu jamani mlofanya u know this sasa ukichanganya na friends na familia ina kuwa harder kama hawachukulii diet yako seriously ,waelezee plan yako ya kupungua tena kabla hujaanza na waambie malengo yako na uko serious waku support ,kuwa na close people ambao wanaelewa unachofanya itakusaidia kwenye kupngua since watapunguza vishawishi vya kukuhairibia diet kama kuleta misosi unayopenda home au kutoka dinner za mara kwa mara .DIET34

Share.

About Author

Leave A Reply