Friday, August 23

Uzuri hauna maana kama huna hela ajisemea Faiza Ally Akiwa kapendeza na Kijipensi cha Jeans

0


Mdada mjasiriamali na mama wa watoto watatu anayejiita MACHINGA WA KISHUA Faiza Ally ,ambaye anatumia ukarasa wake wa instagram kupost maisha yake ,mafanikia changamoto zake na mambo mengi ,ameandika kwamba anajijua yeye mzuri sana na akisimama na baadhi ya watu anawapita uzuri ila ameshajua kwamba uzuri bila hela hauna maana.

Halii kwenye changamoto za maisha anazitaftia njia ndo maana ana Fanya biashara Faiza na biashara zake ,ananyanyua wengine pia kama event anayotaka kufanya ya Single Mothers make mini

Leo si ndo Wednesday??basis #WCW.

Ila she is a sexy mama kwenye hizi recent pictures  kanoga sana .Mama ku slay bwana sio wajiweka weka tu kisa una mtoto mdogo.

Me napenda Faiza anasema ukweli hapindishi anasema anachojiskia na anapojiskia ,anaomba radhi anapo ona kakosea ,anaishi real life .

Najua how beautiful I am some people think sijui no mnakosea I know tena situmii nguvu na uwezo wa kusimaa kusema mzuri kushinda wengi wenu lkn sawa baada ya kujua mzuri so what ? Nimekuja kujua uzuri hauna maana kama huna hela ndio maana huwa siuexpress , uzuri hauna maana kama huna akili na zaidi usichana haudumu na hauta dumu zaidi kama maisha mabaya zaidi na zaidi utabakia kubadilisha wanaume and is very sad how wanawake wazuri wanatumika vibaya so Kwa mimi uzuri wangu sio kitu cha kwanza ni kitu cha mwisho tena sio kikubwa a special ninapo ona wanawake wanao fanya vizuri kwenye maisha , wanawake wazuri naomba muache kutegemea mionekano yenu na muache kutumia uanamke wenu kuwa ndio kila kitu ! Tufanye kazi na tusiwe mategemezi kwa wanaume , wazuri ni wengi wanazaliwa kila siku na siku hizi uzuri pia unanunuliwa na mwisho wa siku utazeeka huna kitu ukabaki na uzuri usio na faida Kwako! Lkn uwe mzuri uwe na hela inakua burudani , sasa uwe mzuri half kila ukiangalia ulifanya nini unabaki kuhesabu tu ulio lala nao na hakuna ulicho ambulia zaidi ya size za madudu UTAJUTA!#MACHINGAWAKISHUARead More

Share.

About Author

Comments are closed.