Sunday, August 18

This Week On DStv

0


Wikiendi hiyoo inanyatia nyatia, wapenda soka kama nawaona vile wakila Sikukuu miguu juu, sasa Wakali wa soka DStv wanataka kunogesha zaidi sikukuu yako, shuhudia mechi kali za Premier League.

  • Mashetani wekundu wanakutana na viponde Swansea City, Je mdogo atampiga mkubwa? ukweli utajulikana baada ya dakika tisini siku ya jumamosi saa 11 jioni,  ndani ya SuperSport 10 kwenye kifurushi cha Bomba kw ash.19,000 tu.

  • Na Vinara wa Ligi ya Uingereza msimu huu Manchester City wanaingia Dimbani kuwavaa Everton, Jumamosi hii saa 1.30 usiku kwenye Supersport 3.  Je Rooney ataweza kuifunga timu yake ya zamani? Hakika hii si mechi ya kukosa.

Na Siku yenyewe sasa ya Pasaka, burudani ya ziada inapatikana hapa kwa wale wenye DStv. Jumapili hii tazama mechi kali kati ya Arsenal na Stoke City kuanzia saa 10 na nusu jioni, baada ya hapo tunahamia kwa wakali wa darajani wanapoingia dimbani kuwavaa Tottenham, je Tottenham wataweza kupambana bila harry Kane, yote tutajua Jumapili hii saa 1 kamili usiku, ndani ya Supesport 3 kupitia DStv Compact.

Ni Full Vyenga Bila Chenga mwanzo mwisho… unasubiri nini sasa? Jiunge na DStv leo ufaidi utamu wa soka la Ligi ya Mabingwa UEFA kwa kupiga namba

0659 070707 na ukitaka kujihudumia piga *150*46# kisha fuata maelekezo.Read More

Share.

About Author

Comments are closed.