Sunday, August 25

Ramadan Look Book by Azure Kange

0


Asalama Aleykum ,am hoping by the Grace of Allah we are all doing great na tunaendelea vyema na swaum zetu,tumuombe Allah azikubali swaum zetu,sala na dua zetu maana ni mwingi wa Rehema.

Leo nakuja na fashionista and blogger Azure Kange and her lookbook ya Ramadan na amekuja na 4 looks which she share on her blog.

An Abaya kila mtu anahitaji Abaya ni staple kwa msichan yoyote wa kiislam ,japo watu wote wanaweza kuvaa
Animal print is a huge trend right now,and Azure gave us a maxi dress look
Long blazer with wide pants for a more modest look
Mom jeans are the best sababu hazibani ukivaa na a long shirt ni perfect for modesty look

Share.

About Author

Leave A Reply