Tuesday, August 20

Preparing For Ramadan 2019 By Mufti Menk

0


I hope all the Blessings of Allah be upon all of us ,All FAITH have seasons na kipindi hiki kwa Waislam ni Ramadhan na wakati wenzetu wametoka kwenye Kwaresma .

Ramadhan is unique sababu kuna watu wataswali sababu ni Ramadhan wata acha pombe ,watakua wanatoa kwa wale wasiojiweza.Hizi seasons zina saidia sababu tunakua zaidi karibu na Muumba /Allah.

Hope Mufti Menk atakufunza moja au mawili kwa ajili ya Ramadhan.


Share.

About Author

Leave A Reply