Saturday, July 20

Model Elsa Hosk Ndo Atakaye Vaa Fantasy Bra ya $1 million dollars kwenye Show ya Victoria’s Secret

0


Show ya Victoria Secret kwa Models kuna vitu vitatu wana pigania kwanza kua tu kwenye list ya models watakao walk kwenye Victoria Secret .

Kingine ni kwamba wanapigania nafasi zingine tatu kama  the show opener, the Swarosvki outfit and the Fantasy Bra (kufungua show,ile Swarosvki outfit na Fantasy Bra).

Atakae vaa ile Bra yenye thamani ya $1 Million Dollars hela ndefu bra ina Diamonds ,Model alopata bahati ni Elsa Hosk ambaye ni Mswidish ambaye amekua kwenye list ya Models tangu mwaka 2011.

Hosk alianza kama Vicotria Secret Pink Ambassador ,mwaka 2014 rasmi akapata title ya kua Victoria Secret Angel .Mwaka 2016 aliapata heshima ya kufungua show huko Paris,2017 kwenye Shanghai show alivaa the Swarovski outfit (a one-of-a-kind crystal-embellished outfit designed for one Angel). 

Bado siku 3 tuVictoria Secret shoe

Hosk in the 2017 Swarovski outfit

Hosk opening the 2016 Victoria’s Secret Fashion Show


Share.

About Author

Leave A Reply