Saturday, August 24

Mliojiajiri Msiwakebehi na kuwadharau walioAjiriwa

0


For people my age Brenda is our big sister who wishes us well,anataka tutoboe ,tufanikiwe ,tufikie ndoto zetu pia.

Leo ana jumbe huu kwa GIRL CHILD

Heeey Girl child!

Hebu njoo kwanza hapa kando…. leo utaninunia lakini univumilie tu.

Girl child we can not all be entrepreneurs… sawa? We all have a purpose in life… na tunatofautiana… and it’s ok the fact that tunatofautiana.

Girl child, kwenye maisha tunawahitaji watu wenye karama tofauti. We need teachers, we need nurses, we need drivers, we need doctors, we need bankers, we need leaders to lead us iwe kwenye mashirika makubwa ya serikalini or binafsi etc…. umeshanielewa?

Girl child, not all of us can be self-employed. Not all of us can be employers of others. And it should be respected. Eti kwanini nakuambia haya yote? Well, nimekuwa nakuona jinsi unavyowasema watu walioajiriwa… yaani unawazungumza vibaya… mpaka wanajiona kuajiriwa ni janga la kitaifa!
Girl child, stoooop right there! Nilikuambia mapema kabisa leo univumilie.

Yes, there is nothing wrong of having a secondary income…. it should be encouraged. Allow me just to give you feedback on how you go about na kuongea na young vibrant employees ambao ndio wanaanza kujijenga kwenye professions zao unaanza kuwajaza maneno kwanini they waste their time kuajiriwa wakati wanaweza kujiajiri! You show them the glitz and glam ya kuwa “Boss lady”. Girl child… feedback is just for reflection, sitaki tubishane.
Yes Girl child, most of us started from the bottom…. getting paid peanuts! But we grew and the growth continues. We all have different destinies. Some people are driven more by their purpose rather than being a “boss”. Mwanawane sio kila mtu anataka kuwa boss au mwajiri. Na tuwaheshimu maana wamepewa karama tofauti.
By no means I’m discouraging you to continue being the amazing entrepreneur that you are and you know how proud I am of you …..but my humble request to you is “don’t look down on those who are currently employed and are trying to build the careers” au kuwavunja moyo kwamba wanapoteza muda wao. Nao pia wanahitajika katika jamii. After all…. not everyone has the skills and resilience to become an entrepreneur. Sawa?

Ngoja niishie hapa maana naona hali ya hewa imechafuka.

Hata kama umeninunia, nakupenda!

Share.

About Author

Leave A Reply