Thursday, August 22

Make Room on Your Closet Rihanna anakuja na Luxury Fashion Line

0


Louis Vuitton Moet Hennessy walitangaza kwamba wanaingia partnership na Pop star Rihanna  kwenye her new Fashion line  .Baada ya now anakuja na her own luxury fashion line.
Rihanna anakua first black woman kuwa na Fashion house huko Paris.

Riri anakuja na something different kidogo hana plan za kufanya runway shows badala yake anatakua anafanya ‘’DROP ‘’ kila mwezi ni same as wanavyo drop songs usiku wa manane and fans goes bananas itakua hivi kwenye nguo zake.
Bei zitakua za luxury pia so t shirt zitakua $200 zita anzia hapo hadi $1500 ,size itabeba hadi French size 46 ambayo ni American size 14.

Amejitahidi sana ku prove kwamba yeye ni designer baada ya kufanya collabo na brand kama Puma.

Share.

About Author

Leave A Reply