Saturday, August 17

Leo kwenye Maisha Yangu tupo na Monalisa kwenye Kipindi cha Maisha Magic Bongo

0


Leo katika kipindi cha #MAISHAYANGU utakutana na nyota wa filamu Yvonne Cherrie maarufu kama Monalisa, akituelezea juu ya safari yake tangu alipoanza hadi sasa. Usikose kutazama kipindi hiki saa 3:30 usiku ndani ya @MaishaMagicBongo chaneli namba 160 inayopatikana kuanzia kifurushi cha @dstvtanzania Bomba kwa shilingi 19,000 tu #DStvInogilee

Share.

About Author

Leave A Reply