Saturday, August 24

JINSI YA KU BUILD EMERGENCY FUND .

0


Tunaendelea na series yetu ya Emergency fund leo tunacheki njia gani utumie ili uweze kufanikisha kua na akiba ya dharura

1.Save hata elf 2000 kwa siku au hata buku,ukiweka kwa mwaka mzima ni 730000.

2.Chukua asilimia kidogo kutoka kwenye paycheck yako anza na asilimia hata 10 ya mshahara. Ukifanya hivi utaweza save kirahisi na kwa haraka.

3.cut expenses /punguza matumizi yasio lazima lazima yapo jiangalie vyema .

4.Save zile change unazokua nazo ziwe za dala dala au dukani au gengeni weka kwenye akiba yako.

5.Make extra Money/tengeneza fedha za ziada hapa ndo kuna zile side hustle zetu zipo kibao cheki mazingira ulipo utapata cha kufanya.

Share.

About Author

Leave A Reply