Wednesday, August 21

Jacqueline Wolper Anayoitumia LAMI kama runway kuonyesha Mishono ya nguo anazoshona

0


Inawezekana LAMI zimewekwa ili kurahisisha usafiri wa vyombo mbalimbali kupita kirahisi lakini kwa Jacqueline Wolper yeye lami ina kazi zaidi ya kupitisha vyombo vya usafiri na waenda kwa miguu,yeye anaitumia kama Runway akiwa ana model nguo zake mbalimbali anazoshona kuonyesha wateja nguo hizo na kupata nafasi wa kuona nguo kuanzia chini mapaka juu.

Mishono baadhi ambayo ame model akiwa kwenye lami

Kitenge dress with a matching turban na kimono 

love her glasses 

another look am digging 

wale wenye mapaja yao ,mwendo wa high slit 

Kimono za kisasa waweza vaa na dresses au jeans ,hii wavaa hata beach 

cold shoulder kitenge dress

bwanga 

 Read More

Share.

About Author

Comments are closed.