Friday, May 24

Irada Style New Collection 2019

0


Designer na stylist Irada kutoka Irada style ame share na sisi her new collection ,pia ni Ramadan collection 2019,Eid collection inakuja soon.

Kuna bubu za style tofauti ,mitandio pia

CustomMade #BuuBuu from Modest Stylist mwenyewe na Mbunifu wa Kitanzania…brand kubwa ya Modesty #IradaStyle….picha imetokaje 😜😜😍😍 Basi fanya kuja Whatsapp 0710878889 au DM

Angalizo hizi #BuuBuu ni #LimitedEdition yaani zipo chache..zikiisha zimeisha!!!
60,000 na mtandio wake.
50,000 bila mtandio…RamadhanEidCollection2019 #IradaStyle #BuuBuu #LongSleeves #ShortSleeves #HalfQuaterSleeves

short sleeves

Share.

About Author

Leave A Reply