Sunday, August 18

Ideas za nini Uvae kazini Ramadhan 2019

0


Asalam Aleykum ,hope your all well ,tuendelee kuomba uzima tufika mwezi mtukufu wa Ramadhan Insha Allah.

Wengi huwa wana struggle sana kwenye suala zima la nini wavae kipindi cha Ramadhan wakienda kazini.

here are few outfit ideas

shades of brown
love this look
Invest kwenye Abaya nzuri zitakusaidia sana ,sababu you wear suruali au gauni hata skirt and unatupia tu Abaya kwa juu au Kimono
long vest zitakuokoa pia uonekane chic and yet office appropriate
two piece look
Maxi skirt are your bestfriend
perfect for friday kidera flani amazing sio yale ya maua maua
wide leg trousers
shirt dresses and long top

Share.

About Author

Leave A Reply