Wednesday, August 21

Hii ndo Collection ya Nguo 18 kutoka Fenty

0


Rihanna amekuja na clothing line yake inaitwa FENTY ambayo ame collaborate na LVMH  .

Tulisha anza kuona teaser kutoka kwa Riri mwenyewe akiwa anavaa baadhi ya outfits kutoka kwenye collection yake mpya.

Ukicheki hizi 18 looks utajua kwamba nguo ziko Riri like ambazo yeye mwenyewe huwa anapenda kuvaa.

Kuna menswear inspired looks,very structured ,sharp ,i love the waist blazer dresses ,dramatic puffed sleeves too and oversized jackets as dresses

Share.

About Author

Leave A Reply