Sunday, August 25

Anniversary Special :: Kwa Jacqueline Mengi Mume wake ndo kila kitu kwake

0


Mwaka 2015 March 28th ndiyo siku Bwana Reginald Mengi alifunga ndo na Bibi Jacqueline Ntuyabaliwe ambaye ni Miss Tanzania 2000 na Mkurugenzi wa kampuni ya molocaho_by_amorette.

Katika kusherehekea miaka kadhaa tangu wafunge ndoa Jacqueline Mengi ametumia ukurasa wake wa social Media instagram kumtakia na kumpongeza mume wake kwenye kuazimisha miaka kadhaa ya ndoa yao.

Amendika kwamba mume wake ndo kila kitu kwake

You’re my everything,I couldn’t have asked for a better man to call my husband.Thank you for spending your life with me and thank you for a beautiful love.Happy Anniversary to us.❤️🎊

 Read More

Share.

About Author

Comments are closed.