Monday, March 25

Anna’s Bridal Shower

0


Bride to be kutoka Arusha,Ni Anna tulisha post engagement photos zake HAPA

walivaa two outfits for her bridal shower moja walivaa casual jeans and t shirt nyingine walivaa khanga.Walipendeza sana ,decor ilikua simple and theme ya khanga niili imanya zaidi.

Ankle sandals

she wore white and a hint of blue

Anna anapenda ku incorporate masai culture kwenye outfit zake  

Bride to be yeeeey  

loved this set

Arusha pazuri jamani

with her girls

they wore black and blue  jeans 

t shirt zina ujumbe  hatari  second look

mambo ya ki Africa zaidi

blessing it

Share.

About Author

Leave A Reply