Thursday, August 22

A doze of Melanin from Aunt Ezekiel and Her Daughter

0


With the term Diversity kutumiwa sana kwa sasa duniani kote,wanawake wengi kwenye upande wa ngozi zao wana anza kujipenda na wale ambao ni dark skinned wanakua more confident sababu wengi wanafikiri urembo ni kua mweupe.

Kwa sasa hata models weusi wameongeza sana nasemea wale Melanin weusi haswaa wakuteleza .

I love Aunty Ezekiel kati ya mastaa ambao wanapenda ngozi zao nzuri za kuteleza with her daughter cookie ambaye am sure atajipenda na kua strong sababu amekua akiwa anamuona mama yake.

Happy belated birthday cookie
i mean look at their skin
flawless

Share.

About Author

Leave A Reply